Tanzania inajadiliwa kwasababu ya uwezo wake mkubwa wa kujiongoza na kukata kabisa kuelendwshwa na mabwenyenye ya magharibi.
Viongozi wa Tanzania chini ya serikali sikivu ya CCM wanafanya kazi kubwa na nzuri ambayo kwa kiasi kikubwa ina wakera na kuwaudhi sana vibaraka na mabwenyenye wa magharibi