Siku Waafrika wakisema tunapinga na kulaani, na ni mtindio wa akili kukubali mtu mwenye dhamana ya kukuletea huduma ya afya eti yeye ndio anasafiri kupata huduma ambazo sisi hatuzipati, tena anaenda kwa gharama zetu, siku hiyo ikifika ndio haya yatakwisha.
Kwa saab, kiongozi anakosaje usingizi kutafuta majawabu ya matatizo ambayo yeye hayamgusi ?
Waziri wa Uchukuzi ambae hajawahi maishani kwenda sheli kulipia petroli kutoka mfukoni mwake, kwa saab ana li Land Cruiser la serikali 24hrs miaka 20, hawezi ku give a flying fvck about bei za petroli mitaani ...
Katiba inasema Rais halipi kodi, sasa matozo yenu yanamuuma nini ? Chakula Ikulu bure, masukarini yenu na ma michele yamepanda yameshuka, yanamhusu nini ? Hata mimi nisinge give a damn!