Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Hivi lengo mada hii nini ,? Japo unasema unaelimisha,msipende kua mnatisha watu ,
 
Tena zilivuja hata baada ya kifo chake japo walijitahidi kuficha lkn Maji yalivuja kwenye pakacha
Mlolongo wa kifo cha JPM bado ni fumbo kwa waliowengi, nikikumbuka zile tweet za Tundu Lissu na kigogo na amini alifariki kabla ya tarehe 17.
 
Yaani hapa mimi nakuelewa kabisa utafikiri tunafahamiana au huwa tunaongea siku zote. Una sensor za kiroho kama zangu kabisa. Ndoto ni moawapo ya milango ya mawasilianao makubwa kabisa kati ya Mungu na mwanadamu. Endelea kuwa unazitilia maanani ndoto zako halafu muombe Mungu akupe kumbukumbu nzuri usiwe unasahau kile unachoota usije ukawa kama mfalme Nebukadreza
 
Kwandikwa - Covid19 hata Mfugale inahisiwa kuwa ni gonjwa hilo hilo. Tatizo wabongo tunadharau huu ugonjwa halafu vifo tunavisingizia matatizo mengine.
 
Shida yangu nakuwa naota then sijali japo nitakumbuka. Mfano siku za karibuni nimeota kiongozi mmoja wapo serikalini ni mkubwa tu kwa madaraka, anaumwa sana. Alilazwa. Baadhi ya watu wakishangilia afe. Lakini akapona.
Watu walimwombea sana. Akapona.
Baada ya hapo nikaoneshwa maadui wake wasiomtakia mema. Nikaona ktk ndoto maadui wengi alonao wako na ukaribu nae. Kuna mtu... siwezi mtaja hapa ila....hampendi kabisa huyu kiongozi. Na anapenda aachane nae lkn anashindwa.
Ni ndoto tu! Japo mara nyingi ndoto zangu baadae hutokea kweli. Inaweza chukua muda ila itatokea.
 
Endelea kuzitilia maanani sasa katika mtizamo wa kiroho zaidi na kwa kuzingatia zaidi Maandiko Matakatifu; na si kwa viongozi tu bali pia kwa watu wote wakiwemo ndugu zako. Kuna uwezekano mkubwa pia kuwa huwa unapata zaidi ndoto zenye ujumbe unaohusu ndugu zako, lakini unashindwa ku-decode messgae hizo kwa kudhani kuwa ni ndoto tu. Ikiwa hadi Mungu amekufikisha kwenye level ya kuwa unaona mambo makubwa ya viongozi wa nchi, basi yale ya ndugu zako na watu wengine ulio karibu nao yatakuwa ni mengi muno ila huwa huyatilii maanani na hivyo kushindwa kujua ujumbe wake. Mungu akuongoze sana katika hili.
Naomba usome mafungu haya hapa machache kutoka kwenye Maandiko Matakatifu Biblia

Yoeli 2:28-30 BHND​

“Kisha hapo baadaye nitaimimina roho yangu juu ya binadamu wote. Watoto wenu wa kike na wa kiume watatabiri, wazee wenu wataota ndoto, na vijana wenu wataona maono. Hata juu ya watumishi wa kiume na wa kike, nitaimimina roho yangu wakati huo. “Nitatoa ishara mbinguni na duniani; kutakuwa na damu, moto na minara ya moshi.
 
Kwandikwa - Covid19 hata Mfugale inahisiwa kuwa ni gonjwa hilo hilo. Tatizo wabongo tunadharau huu ugonjwa halafu vifo tunavisingizia matatizo mengine.

Mkuu

Hii Covid-19 inasingiziwa sana!

Mazingira ya kifo cha mtajwa mwanzoni mwa aya

Na mazingira ya kifo cha shahidi X, ni sawia!

Shukrani!
 
Mkuu

Hii Covid-19 inasingiziwa sana!

Mazingira ya kifo cha mtajwa mwanzoni mwa aya

Na mazingira ya kifo cha shahidi X, ni sawia!

Shukrani!
Mkuu ukiuguza jamaa kwa ugonjwa huu au ukapoteza wawili watatu ndio utaelewa madhara yake.

Kwa kusimuliwa tu huwezi ukaielewa vyema covid19.
 
Mkuu ukiuguza jamaa kwa ugonjwa huu au ukapoteza wawili watatu ndio utaelewa madhara yake.

Kwa kusimuliwa tu huwezi ukaielewa vyema covid19.

Mkuu

Hakuna mahali nimesema kwamba huu ugonjwa

haupo kwenye jamii yetu.

Kuna baadhi ya vifo vinapewa uhusika wa UVIKO

Shukrani
 
Andika kitabu cha hadithi kitauzika tu. Kiwango cha ubora wa Usalama wa Taifa na kuweza kushughulikia masuala ya msingi unayoelezea hakitokani na ubora wa kitengo chenyewe peke yake, kinakwenda pia na mshikamano, pia kiwango cha cream (watu wa wakati huo, rasmi na wasio rasmi, wenye maono na usemi katika mustakabali wa Taifa) ya taifa lenyewe. Vinginevyo ni kuhangaisha na kupoteza muda wa watu tu kuzungumzia mambo ya kufikirika.
 
Mkuu

Hii Covid-19 inasingiziwa sana!

Mazingira ya kifo cha mtajwa mwanzoni mwa aya

Na mazingira ya kifo cha shahidi X, ni sawia!

Shukrani!
Kumbuka kujikinga ukikupata huu ugonjwa nafasi za kukuondoa ni kubwa.
 
Hayo yanawezekana huko kwingine lakini sio hapa Tz ambako kifo Cha rais ni furaha kwa vikundi flani na Kanda flani flani.
 
Hayo yanawezekana huko kwingine lakini sio hapa Tz ambako kifo Cha rais ni furaha kwa vikundi flani na Kanda flani flani.
Watanzania tulio wengi tumefurahishwa na kifo cha Dikteta uchwara.

Na bado tupo kwenye shangwe na kila tarehe 17 march tutakuwa tunakesha bar kufurahia na kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kwa kutuondolea huyu kichaa dhalimu bila machafuko wala umwagaji damu, maana kwingineko duniani kuwang'owa madikteta huwa kunaambana na umwagaji damu za watu wasio na hatia.

Kwa matendo haya ya huruma ya Mungu tunapaswa kutowa sadaka ya shukrani kila tarehe 17 March.
 
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…