Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Sasa Membe hakua active politician anymore ni sawa na Warioba au Butiku akifariki mseme ni pigo??! January na Mwigulu are active politicians and can be threats to sukuma gang kuliko mstaafu!!
It's not about politics it's about human being na contribution zao kubwa Kwa taifa Membe kafanyia taasisi ya Rais tangu 1980 kafanya foreign long time pia na mambo aliyofanya kidoplomasia miaka yote sio ya kubezwa same applied to Warioba na Butiku huwezi walinganisha na hao vidampa wapiga deal in the name of active politics this isn't fair ni matusi Kwa wakongwe. Membe, Warioba, Butiku wapewe maua yao
 
Huyu bwana hutafuta sifa za lazima.
 
Alimuua Mawazo na Saanane na pia Ali order Lissu kuwa shot. Huwezi kumcha Mungu ukawa muuaji
Ukiitwa kuhojiwa kuhusu ushahidi wa maandishi juu ya ORDER hiyo unaweza prove?

Tumia vizuri uhuru wako wa Kutoa maoni!!
 
Mwl Nyerere alisuka mifumo complicated sana. Unaweza kufikiri unajua korido zote kumbe bado hata geti hujafunguliwa. Tuiombee nchi yetu!
 
Ukiitwa kuhojiwa kuhusu ushahidi wa maandishi juu ya ORDER hiyo unaweza prove?
Yes mbona alisema hadharani kuwa "wasaliti huwa wanafanyiwa kitu" "vyombo vya usalama vinajua" lakini "kwa hapa mmemuachia tu anapayuka tu"! Baada ya Ile speech Lissu hakumaliza wiki akamiminiwa risasi.

Pia aliwahi toa order kwa Ndugai kuwanyoosha wabunge wa upinzani Ili walitoka nje wakiropoka na yeye awanyooshe. Hizo threats ni indicator tosha ya nani alihusika na vifo vya wanasiasa.
 
Yes mbona alisema hadharani kuwa "wasaliti huwa wanafanyiwa kitu" "vyombo vya usalama vinajua" lakini "kwa hapa mmemuachia tu anapayuka tu"! Baada ya Ile speech Lissu hakumaliza wiki akamiminiwa risasi.

Wewe hujui watu wabaya huwa wanapita kwenye maneno yako?

Unaweza ukamtishia mtu kifo kwa mzaha, halafu akatokea mtu mwingine akafanya mauaji ya kweli ili apate chaka la kujificha kwa kukutumia wewe mropokaji?
 
Acha kuni quote we mpuuzi, wapi Mimi nimewahi kuwa Team Membe. JPM ni CCM na Membe ni CCM Sasa pole ya Nini na nipo CHADEMA?

Mnalazimisha sana kwamba tumeumia kwani sisi ni CCM wenzake? Embicile
CHADEMA ya Sasa ni CCM B!
 
Raisi ni taasisi siyo mtu,akifa ana kuwa kaga yeye siyo taasisi,Ndiyo maana ya kazi inaendelea
 
Membe ni CCM na JPM ni CCM so wenye pigo ni CCM maana mnamalizana wenyewe Sasa inanihusu Nini mie CHADEMA. In fact hatuna la kupoteza mkimalizana maana mnaturahisishia kazi 2025!!
Usijali, Hata huko nako mtaguswa tu Mungu fundi, nenda msibani sasa kaomboleze
 
tuliza fuvu, chukua daftari la michango, hapo ushawaza pilau la arubaini tu na wali harage la msibani,
Poleni sana CCM kwa misiba mikubwa miwili.... Sisi huku Chadema tunashangaa ukuu wa Mungu maana mlimtukana Lowassa kuwa ikulu Haina ICU na kwamba Lissu alipata alichostahili. Cha ajabu Bado wanadunda zaidi ya miaka 8 tokea muwatabirie vifo ila nyie ndio mnamalizana wenyewe.

Mnatia sana huruma,kufikia 2025 mtamalizana wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…