Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Mungu fundi, kaamua ugomvi, bahari imetulia, kengelesi
 
Who is Membe nchi hii? Ingekua January au Mwigulu hapo sawa. Yaani Membe kufariki ni mission? Kwani alikua tishio kisiasa kwa sukuma gang?

Acheni kujitia moyo, JPM aliondoka akiwa madarakani no civilian death can equal such a downfall.
Hujuwi mfumo wanao mjuwa Membe wanajuwa Habari yake. Just pata beers acha na majasusi
 
Labda iwe kweli natural death. Vinginevyo badamu batamwagika. Kule hawana kelele ila shughuli zao sijui kama zinafikiwa.
Kama kuna mkono wa mtu kabla ya 40 ya Membe lazima vilio vitasikika kwenye familia husika, nawajuwa vizuri hawa watu.
 
Mnao mnanga na kumkejeli Hayati Magufuli mnashauriwa kuzidisha kupaza sauti zenu... Mnao dai kakazieni hukumu vizuri... Ila Mama Mkanye mwanao.... Mama mkanye mwanao... Huo ndio ujumbe kutoka kwa wana wasio julikana... Sisi kama manabii tunafikisha ujumbe.
 
Zitto and the company
 
Nawasisitiza vijana na walewenye nafasi kusoma huu Uzi maana wataepuka mengi maana shoka lipo kwenye shina.
 
Hausiana= hausiani?
Ayupo= hayupo?
Uweza = huweza?
Kiswahili, kiswahili, kiswahili
 
Wakuunga Tera hawajaIsha ila bado wanaulizana itakuwa wewe au itakuwa hy kama sio yule.
 
Swali nje ya mada,

Mgomo wa KARIAKOO Kwa siku 3 mfululizo, makachero wakishindwa kudhibiti au Kuna move behind?
 
The day I see and thought
 
Hakuna kitu umeandika! Haya mambo ya usalama ni nje ya uelewa wako. Jifunze kwanza kuandika.
Unaweza ukawa kwenye idara na mwisho wako ukawa kwenye idara yako. Hujuwi ya chumba cha pili na kamwe huto ya juwa na ukiyajuwa bila kibali huwo ndio mwisho wako au .... So just keep silent 🔕 kuanzia siku umeajiriwa unauza gazeti na kupeleka umbea kwenye chumba kile kile mpaka una stafu sema tena...
 
@Jorojik uwache kuchokoza watu mtaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitutishe TZ hakuna cha usalama Kila siku watu wanakula visivyo vyao na mambo ya hovyohovyo yanatokea hayadhibitiwi!!. Hamna cha chumba Wala mchumba hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…