Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Tishia usalama wa Rais na amani ya Taifa ndio utajuwa wapo au hawapo... Tena post humu humu na I'd zako feki ukiomba maji niite mm mjinga.
Kwahiyo mpaka utishie ila wao kulinda mali za taifa haiwahusu...!! Mh! Basi kazi ipo
 
Halafu ukute ni muuza duka tu huko Kimara na daftari lake la kukopesha.....
Muuza duka nipo ruvuma nalima maindi huku natabiri. Chakula changu ugali na maharage kitanda changu chini ya sakafu yenye benders ya Tz na Tanganyika... Napata usingiz
Kwahiyo mpaka utishie ila wao kulinda mali za taifa haiwahusu...!! Mh! Basi kazi ipo
Pamoja na mengineo ambayo sikuandika kwa sababu binafsi ila unaweza pia jaribu tafuta uwepo wao...🀐
 
Nawasisitiza vijana na walewenye nafasi kusoma huu Uzi maana wataepuka mengi maana shoka lipo kwenye shina.
Wengi wamenasa kiasi hawaelewi hata kesho yao mbaya wamepewa na ukuu ili wazidi kubwatuka.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama wewe ndo muwakilishi wao bado sana tunasafari ndefu mno
 
Usitutishe TZ hakuna cha usalama Kila siku watu wanakula visivyo vyao na mambo ya hovyohovyo yanatokea hayadhibitiwi!!. Hamna cha chumba Wala mchumba hapa
Umelazimishwa kutishika au umetishika mwenyewe? Kama hujalazimishwa, kwa nini utishike?
 
Mkuu vipi uchunguzi
 

Attachments

  • Screenshot_2023-09-21-21-30-01-827_com.facebook.katana.jpg
    442.8 KB · Views: 9
Wengi wamenasa kiasi hawaelewi hata kesho yao mbaya wamepewa na ukuu ili wazidi kubwatuka.... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ’•πŸ’•πŸ’•πŸ’•
 
Kunguni na viroboto wamemwagwa wakutosha kwa malimbukeni.... YaaaniiiiiiiπŸ˜‚πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…