Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Nchi iliviziwa na wahuni waliokuwa wanaigiza unyenyekevu kwa bulldozer na yeye bila kujua akatoa mwanya kupitia kwenye upenyo ambao hakuuhisi chochote 'until it was too late to fend off the black mission'
JPM shall prevail to be a true executive president acting on the land's dwellers will
 
Nibora mkasoma hata hii thread kupunguza maumivu yasio yalazima mnamuona mam ila ile ni jamuhuri bb na bwana
 
Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa
 
Mwili wa Ben Saanane mliutupa wapi?
Huwa na shangaa sana kama mnaweza nihisia kwa hili mbona hamnihisii kwa Magu maana pia nilimtabiria asikitaje kifo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…