Rais wa Nchi anapofariki akiwa madarakani Nchi huwa katika nyakati za hatari zaidi kuliko wakati wowote ule

Ccm hamkujisomea haka kauz kupata maarifa
 
Kulikoni tajiri wa taarifa, tunyetishe elimu ya siri kwa raia.
Rais wa Taifa kufa madarakani ni jambo lahatari sana maana huwa ni kama kibali cha kuuwa kwa jina la jamuhuri. Watu hufa watu hupotea kwa jina la jamuhuri niwakati hata wale wapo madarakani yawapasa kuwa makini na midomo yao ama mawazo yao. Niwakati ambao kama umepewa kurithi kiti basi kuongoza mka pale muda unaisha wa alie fariki na kukaa pembeni wenye nchi wamchaguwe wanaye mtaka ama usubiri kuona giza mbele kama giza liliwakumba watu wa Zambia.

Sio muda eti kutangaza nia hapana epuka huwo mtego maana utaonekana mchawi. Nakufanya walio ktk upelelezi wa kifo cha Rais alie kufa kukuweka ktk list ya mambo yakuhisi.
 
Sawa tumesikia
 
Kumbe kutangaza nia baada ya mtego wa gazeti la uhuru ilikua ni tiketi ya kushughulikiwa!!?
Kumbe ndio maana wahuni wamekiuka kitabu Chao Ili Kobe atokeze shingo yake wamchinje mapema sio!!?

Bas sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…