Tetesi: Rais wa nchi ile hana nia ya dhati ya kuthibiti corona. "USHAHIDI" anatamani na anapanga makusudi maafa yatokee nchini mwake

unaambiwa tu kuhusu corona au una wasikiliza shilawadu kaa kiakili wewe watoto wana kwaya walio pata corona unajua wapo wangapi je unajua corona imeua watoto wa chini ya umri wa miaka 20 wangapi kama unajua nijb kama hujui endelea kuchinga uongo wako sawa
 
Mpaka corona iue chattle ndio hatua madhubuti zitachukuliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…