johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Halafu baba wa Taifa lao aliwahi kusema Nyerere anaongoza marehemu Kumbe Taifa lake ndio limejaa tutusas 😂
Bara la Africa vituko haviishi imebidi Kaburu amsihi ANC wasaidiane kuongoza Africa Kusini kwa sababu Dunia inabadilika kwa Kasi.
Mungu wa mbinguni Ibariki Africa Mashariki.