Halafu baba wa Taifa lao aliwahi kusema Nyerere anaongoza marehemu Kumbe Taifa lake ndio limejaa tutusas π
Bara la Africa vituko haviishi imebidi Kaburu amsihi ANC wasaidiane kuongoza Africa Kusini kwa sababu Dunia inabadilika kwa Kasi.
Mungu wa mbinguni Ibariki Africa Mashariki.