Rais wa Nchi ya Senegal ampongeza Pape Sakho

Rais wa Nchi ya Senegal ampongeza Pape Sakho

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220723-132322_Chrome.jpg


Tunaendelea kupokea pongezi kila kona ya dunia. Safari hii tumepokea pongezi toka ikulu ya Senegal kupitia kwa Rais Sall.
 
Yanga iliimbiwa wimbo na le Grande pepe kalè wa empire Bakuba ambaye wakati huo alikuwa mkubwa kuliko huyo raisi wa Senegal kwa sasa
Kwann utesekeee?? Kwann uumie??
Kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.

Usijichoshee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Kwann utesekeee?? Kwann uumie??
Kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.

Usijichoshee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
Hamna ishu nyie,,mambo ya kawaida sana hayo..Raisi kapongeza raia wake au sijui wenzetu mlitaka awapongeze raia wa Botswana?😂😂
 
Hamna ishu nyie,,mambo ya kawaida sana hayo..Raisi kapongeza raia wake au sijui wenzetu mlitaka awapongeze raia wa Botswana?[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] subiri Bangala atapongezwa na rais wa Bacongo. Km yuko buzzy na vita hata cm hashiki hiyo haituhusuuu.


Poleeeeeeeh, byuti byuti.
 
Back
Top Bottom