‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

Hili ni pigo kwa Lumumba
Kwa sisiemu na ni ushindi kwa wapenda mageuzi wote
Le mutuz yupo kwa mganga wa kienyeji usiku huu ni ajabu eti kaenda kuiroga JF ni aibu Mtu kama le mutuz kuendekeza ndumba kila kona
 
Haiwezekani.

Kuna apps za kutengeneza tweets.

Buhari siyo mwanaharakati mpaka avutiwe na JF.

Sioni Buhari anakutana wapi na JF hadi aijue na amjue mmiliki.


🙄
 
Hii kitu mbona msigwa hajapost, naona yupo busy na diamond..
 
Wala rushwa wa nchi hii kamwe hwatokaa waipende jamii forums. Najivunia sana kuwa member wa jamii forum.MTU mwnye mwazo mgando hawezi kuwa member wa jamii forum na akiwa member walahi atahisi watu walioko humu ni wapinga......kumbe ni watu wanaothink out of the box.
 
Copy of Buhari original, sasa #anatekeleza baada ya kukaa kwa mabeberu kwa miezi mitano akibadilishwa na mtu kutoka Sudan alie fanana nae nakupigwa code za kufa mtu.

Mabeberu wameanza kutumia third parties kuvuruga Tanzania wali jaribu wakati wa JK kuhusu mpaka na Malawi wakachemsha.
 
Hii ni habari ya faraja sana kwa Max, Mike, uongozi wa JF na sisi the if community ya wanajf wote.

Mimi naamini kuna siku rais wetu na serikali yetu, itakuja kumshukuru Max na sisi wana jf kwa kazi njema, nzuri na iliyo tukuka.

Kwa maoni yangu, watu wanaomkosoa Magufuli na serikali yake, ndio wanaomsaidia zaidi kuliko wanaomsifia na kumuimbia mapambio ya kusifu na kutukuza.

Niliwahi kuuliza humu
Watetezi Wa Kweli wa Haki za Binaadamu Tanzania ni Kina Nani?!, Jee JF Tumo?!. - JamiiForums
P
 
Tatizo lako Pascal, unajua kuuma na kupuliza!
 
Wenzako kabila la igbo washaanza kumchoka Kanu "muasisi wa uzushi huo"

Saizi tembelea page yake uone wa Igbo wakimuambia aache kiki na kiki yake ishachokwa saizi.
 
Tatizo lako Pascal, unajua kuuma na kupuliza!
Japo kwenye mchango wangu kwa bandiko hili, sijaona nimeuma wapi, nimepuliza wapi, lakinii mimi ni mwandishi wa habari, moja ya maadili ya uandishi wa habari ni kuwa
1. Truthfulness, ukweli, mimi ni mkweli daima.
2. Objectivity, kuwa na malengo yenye nia njema.
3. Impartiality, kutoegemea upande mmoja.
4. Balance kuweka mizania ya usawa.

Hivyo hata shetani, pomoja na ubaya wake wote, pia shetani naye ana mazuri yake. Balancing the story ya shetani, ukiyazungumza mabaya ya shetani, ili kumtendea, zungumzia pia na mema yake.

Mimi huwa nakosoa sana lakini katika mazuri, napongeza. Kuna watu wanapenda niwe nauma tuu bila kupuliza.
Tutende haki bin haki.
P
 
Well done Maxence Mello, ama kweli wahenga walisema; "shujaa hatambuliwi kwao;" wakati watu wenye akili huko duniani wametambua mchango na umuhimu wa JF; hapa nyumbani kuna watu wako busy wanabuni kesi kumuhujumu Mello na kuifunga JF ili waendelee kutenda maovu yao gizani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…