‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

Jiwe anatamani malaika ashuke afunge JF.

Malaika Gabriel amewakataza malaika wote wasijaribu kujihusisha na vitendo vinavyoendelea duniani mpaka Mungu atoe kibali lakini kwa busara Mungu amegoma kuonea watu wake
 
Kama kuna jambo linanipa sana UKAKASI wa kuamini serikali yetu na vita ya UFISADI basi ni hiyo kesi ya Maxine kuhusu ile kashfa ya kampuni moja kubwa ya mafuta; ukisikiliza kinacho endelea mahakamani na hao police ambao ndio waliomshtaki unashindwa kabisa kuelewa; nilidhani police wangeanza kufatilia hiyo kashfa ili waujue ukweli wa wizi unaofanyika huko kwenye hayo mafuta but badala yake wanataka kumkamata whistle-blower, sielewi! Nikisikia eti tunapambana na UFISADI ili hali kuna kesi ya namna hiyo, akili yangu inapata GANZI kabisa; hivi nani mwingine anaweza kuwasaidia hao wapelelezi kuibua kashfa zingine ambazo wao may be hawazijui ilihali kuna mtu kawasaidia but wao badala ya kumpa MOYO wanam discourage. Bongo bwana.
 
Kukemea rushwa katika kila nchi ni jambo la uzalendo jambo hili halipashwi kutumiwa kama mtaji wa kisiasa.maana matokeo ya kukomesha rushwa yana viashiria vyake yaani indicators lazima zitaonekana kwa kila mzalendo.
 
One of the reasons why the "stoneman" hates attending international functions.
 
Habari njema sana hii kwa WANA-JAMIFORUMS wote na pigo kwa maadui wa mtandao huu.
Aibu kubwa kwa Magufuli mwenye chuki kubwa na Uhuru wa kujieleza na adui wa Uhuru wa Habari, hata hii JF alipanga kuifunga kabisa,kilichomfanya aone atapoteza muda wake bure ni aiache tu,ni pale alipoona members wote wa JF wamehamia Kenya Talk ambako Habari za kuanika uchafu wa serikali haziwi edited akaona bora tu JF irudi...aibu sana kwa serikali ya hovyo ya ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…