‪Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari ampa heshima Maxence Melo wa JamiiForums kwenye mkutano wa AU‬

Hivi habari hii Magufuri kaiona au anaichungulia kwa darubini?
 
Nimeamini "nabii hakubaliki kwao" au "ukiona hiki cha nini wenzio wanajiuliza watakipata lini". Wakati Rais Bohari anampongeza Maxence Melo kwa kazi nzuri Magufuri yy anataka kumfunga. Maajabu ya Dunia haya
 
this is to say,haukubali utawala wa Magufuli,na anaupinga sababu Nigeria imejaa rushwa,wivu tuuuuuuuuuuuuu,,,simkubali Magufuli ila hili siliafiki
 
Namkubali sana maxcence melo
Creativity yake imefanya watu tujae humu na kupeana habari freely

Last two weeks nilimspot pale mirambo street ikabidi nimpigie salute tu nae akajibu nahisi alijua hili jamaa Lina app ya JamiiForums ktk Simu yake

Bravo maxence
 
Sasa hivi tutasikia boko haram wamekinukisha,kuipinga rushwa ujue unashindana na mijitu mikubwa
Nalog off
 
this is to say,haukubali utawala wa Magufuli,na anaupinga sababu Nigeria imejaa rushwa,wivu tuuuuuuuuuuuuu,,,simkubali Magufuli ila hili siliafiki
Mkuu umewahi kufika Nigeria? Ni kweli kuna rushwa,lakini Uhuru wa Habari ni mkubwa mno,uchumi ni mzuri mno ,circulation ya pesa ni nzuri hadi raha,nisiongee mengi shortly Nigeria is good ,and Buhari is incomparable to jiwe,yupo social sana
 
Hongera mkuu Mello,kazi yako inatambuliwa na wa mbali ndio ilivyo nabii kupenya nyumbani kwao si rahisi utaambiwa matusi yote mwongo,mzushi,mchochezi peleka polisi na mambo mengi ya kufedhehesha.
 
Humu tunapata burdani muruhaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeusema ukweli, bila Kenya talk jf ingekuwa hostoria hapa. Hivyo indirectly wakenya wanastahili pongezi kwa kumfunga huyu jamaa speed governor
 
this is to say,haukubali utawala wa Magufuli,na anaupinga sababu Nigeria imejaa rushwa,wivu tuuuuuuuuuuuuu,,,simkubali Magufuli ila hili siliafiki
Sasa si ndiyo maana akafurahia juhudi zake? Hizi ni jitihada za Africa si Tanzania peke yake. Alizungmzia hilo kwasababu ndiyo tatizo sugu na wala siyo kwamba anamnanga jiwe.
 
Umeusema ukweli, bila Kenya talk jf ingekuwa hostoria hapa. Hivyo indirectly wakenya wanastahili pongezi kwa kumfunga huyu jamaa speed governor
"natamani siku malaika washuke na kuufunga huu mtandao" hii ni kauli ya magufuri. Wana chama chakavu njooni huku mkanushe Kama Jiwe hajawahi kutoa kauli hii, Hongera Maxence bila wewe tungesemea wapi
 
HESHIMA KUBWA KWA KENYA TALK, LUGHA ILIYOANZA KKUTUMIKA KULE NA NONDO ZILIZOANZA KUMWAGA ILIBIDI KINA FUDENGE WAWE WAPOLE MAANA WAKENYA WALE HAKUNA CHA MODERATORS WALA NINI, UNASEREREKA TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…