Rais wa Nzanzibar wamwimbia wimbo wa siku ya kuzaliwa

Rais wa Nzanzibar wamwimbia wimbo wa siku ya kuzaliwa

jaman wakuu haka kawimbo ka birthday tumezoea tukiiimba tangu utotoni sasa nimeshangaa leo wafanyakazi wa ikulu wakimbia rais wao
sasa kilichonishangaza mpaka naandika uzi pale ubeti wa pili wakiimba HOW OLDER YUNA hii iko sawa au ni HOW OLDER YOUR wale waliosoma kwa mwakatale embu mnisaidie jamani

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna sahihi hata moja hapo. Sahihi ni "how old are you now? "
 
Happy birthday how old are you now?
-I am more ancient than the flow of human blood in human veins.
I was I am so shall I be
i am infinate in time and space.
 
jaman wakuu haka kawimbo ka birthday tumezoea tukiiimba tangu utotoni sasa nimeshangaa leo wafanyakazi wa ikulu wakimbia rais wao
sasa kilichonishangaza mpaka naandika uzi pale ubeti wa pili wakiimba HOW OLDER YUNA hii iko sawa au ni HOW OLDER YOUR wale waliosoma kwa mwakatale embu mnisaidie jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
achana naww kutokuuelewa wimbo,heading ya post yako tu inatosha kueleza kuwa waimbaji walikuwa sahihi ila ww msikilizaji akili ilikuwa likizo,,,Rais wa Nzanzibar wamwimbia wimbo wa siku ya kuzaliwa???hivi ww umeielewa kweli hiyo heading??
 
Back
Top Bottom