Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Rais wa Poland kamkaripia vikali na kumchamba kinagaubaga Rais wa kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EU) Bi Ursula juu ya kiburi, dharau, na kejeli zake kwa misingi ya demokrasia kufuatia kutoa komenti ya kipumbavu wiki iliyopita kukosoa matokeo ya uchaguzi wa kidemokrasia uliofanywa na taifa la Italy kumpata Waziri mkuu wa sasa wa nchi hiyo.
Bi Urusula alisema anadaiwa kusema kuwa "Mtu asiye faa ndio ameshinda (Uwaziri Mkuu Italy)! Wamechagua kimakosa! Hiyo nchi (Italy) na serikali yake zahitajika kuwekwa mfukoni kwa nguvu!
Waziri Mkuu wa Poland ameonya kwa kusema: "Ndugu zangu, hivi hii ndio aina ya Ulaya tunayoitaka? Hivi hii ndio demokrasia? Huu ndio Utawala wa sheria?! Kwamba viongozi wa kiimla wa Brussels ndio waamue namna serikali iwe? Kwani ni nani mwenye haki ya kuchagua serikali za nchi za Ulaya? Nchi za Ulaya husika, au Watawala wa Brussels na Berlin (ndio waamue serikali za nchi nyingine za Ulaya)? HUO SI UTAWALA WA SHERIA!
===