Rais wa Senegal apanga kubadili Katiba ili agombee Urais mara ya Tatu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Hii ndio Afrika.

Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba.

Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga hatua hiyo ya Macky Sall..

Ikumbukwe huyu alikuwa Kiongozi wa Upinzani na aliingia madarakani Kwa kushinda uchaguzi huku akiahidi Kukomesha udhalimu wa Chama Tawala Kwa miaka Mingi ikiwemo kuandika Katiba nzuri..

Cha ajabu Sasa kanogewa na anapanga kwenda kinyume na alichoahidi..

My Take..

Usimwamini Mwanasiasa wa Afrika. Chadema Mpo?

======
Senegal's president has rejected claims that it would be unconstitutional for him to seek a controversial third mandate.

Macky Sall's comments in an interview with the French magazine L'Express are likely to fuel an already tense political climate.

The constitution in Senegal was amended in 2016 to shorten a presidential term from seven to five years.

It states that no-one can serve more than two consecutive terms which the opposition says clearly prevents Mr Sall from running in next year's election.

Critics of Mr Sall accuse his government of using the courts to sideline the opposition politician, Ousmane Sonko.

Mr Sonko is currently facing two court cases that could threaten his eligibility for the election.
 
Ukishaingia tu kwenye madaraka, na ulevi wa hayo madaraka nao haukuachi mbali. Muhimu ni kutengeneza Katiba isiyotoa nafasi kwa mtawaka kujiongeza muda.

Sisi wenyewe ilibakia kidogo tu. Maana kampeni za wapambe zilitawala kila mahali. Nawakumbuka sana akina Jah People!
 
Screenshot_20230321-153246.png

Wanaanza hivyo na kumaliza hivi
Screenshot_20230321-153348.png

Ulevi wa madaraka
 
Ukishaingia tu kwenye madaraka, na ulevi wa hayo madaraka nao haukuachi mbali. Muhimu ni kutengeneza Katiba isiyotoa nafasi kwa mtawaka kujiongeza muda.

Sisi wenyewe ilibakia kidogo tu. Maana kampeni za wapambe zilitawala kila mahali. Nawakumbuka sana akina Jah People!
Katiba inabadikishwa kwani si unaona huyo anataka kubadilisha Katiba?

Kwani Mwendazake Alitaka kufanya nini hapa Tanzania?
 
Kuna Katiba za nchi nyingine, naona kama vile hazitoi nafasi kwa wanasiasa kuzichezea. Kuhusu huyo Mwendazake, kusema ukweli hakuwahi kusema kama alitaka kujiongezea muda! Mara zote alisema ataheshimu katiba baada ya muda wake kumalizika.

Kivumbi kilikuwa ni kwa waimba mapambio! Maana wakifikia hatua ya kusema watamuongezea kwa nguvu! Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena.
 
Ukishaingia tu kwenye madaraka, na ulevi wa hayo madaraka nao haukuachi mbali. Muhimu ni kutengeneza Katiba isiyotoa nafasi kwa mtawaka kujiongeza muda.

Sisi wenyewe ilibakia kidogo tu. Maana kampeni za wapambe zilitawala kila mahali. Nawakumbuka sana akina Jah People!
Umri wako ndiyo ilifanya ukaamini hivyo. waimba mapambio hayo walikuwa ni spika tu ila mshika maika wa hiyo ajenda alikuwa ni magufuli mwenyewe ili ionekane ameshinikizwa kuwa madarakani na wazalendo wa nchi hii.
 
Hii ndio Afrika.

Rais wa Senegal Macky Sall amekana madai kwamba Kubadili Katiba na Kugombea awamu ya 3 ni Kinyume na Katiba.

Wiki iliyopota Maelfu ya Waandamanaji Waliongia Barabarani kupinga hatua hiyo ya Macky Sall..

Ikumbukwe huyu alikuwa Kiongozi wa Upinzani na aliingia madarakani Kwa kushinda uchaguzi huku akiahidi Kukomesha udhalimu wa Chama Tawala Kwa miaka Mingi ikiwemo kuandika Katiba nzuri..

Cha ajabu Sasa kanogewa na anapanga kwenda kinyume na alichoahidi..

My Take..

Usimwamini Mwanasiasa wa Afrika. Chadema Mpo?

======
Senegal's president has rejected claims that it would be unconstitutional for him to seek a controversial third mandate.

Macky Sall's comments in an interview with the French magazine L'Express are likely to fuel an already tense political climate.

The constitution in Senegal was amended in 2016 to shorten a presidential term from seven to five years.

It states that no-one can serve more than two consecutive terms which the opposition says clearly prevents Mr Sall from running in next year's election.

Critics of Mr Sall accuse his government of using the courts to sideline the opposition politician, Ousmane Sonko.

Mr Sonko is currently facing two court cases that could threaten his eligibility for the election.
Mkoloni mweusi 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kuna Katiba za nchi nyingine, naona kama vile hazitoi nafasi kwa wanasiasa kuzichezea. Kuhusu huyo Mwendazake, kusema ukweli hakuwahi kusema kama alitaka kujiongezea muda! Mara zote alisema ataheshimu katiba baada ya muda wake kumalizika.

Kivumbi kilikuwa ni kwa waimba mapambio! Maana wakifikia hatua ya kusema watamuongezea kwa nguvu! Ila mwisho wa siku ndiyo hivyo tena.
Apende asipende tutamlazimisha
 
Back
Top Bottom