Rais wa serikali ya wanafunzi CBE kupelekwa mahakamani

Rais wa serikali ya wanafunzi CBE kupelekwa mahakamani

TWALICIOUS

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
42
Reaction score
0
Spika wa bunge serikali ya wanafunzi chuo cha biashara Fred gibe pamoja na baadhi ya wabunge leo watamfikisha mahakamani Rais wao Gango Kidera....alisema kuwa tangu uchaguzi ufanyika mei 13 mwaka huu kumekuwa na mgogoro kati yao na rais huyo kutokakana na kumkataa Gibe
Rais huyo amebandika orodha ya mawaziri na spika aliyoandika yeye mwenyewe na kufanya kazi ya kuwachangisha wanafunzi pesa za kufanyia sherehe za chuoni 5000 kwa kila mwanafunzi hali ya kuwa wameshaisha chukua sh milion 3 kutoka katika serikali hiyo
kwa hilo safi sana Gibe kwani mkimwendekeza rais huyo lazima atawachakachua tu piga kortin awe kama case studies kwa wengine kwa mtoto umleavyo ndivyo akuavyo..............
 
Back
Top Bottom