HONEST HATIBU
Member
- Aug 19, 2020
- 63
- 153
Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji amekutana na Bodi ya Ushauri na kufanya kikao cha pamoja. #WenyeNchi #NguvuMoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wa Simba Kwa katiba ipi?Rais wa Simba ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohammed Dewji amekutana na Bodi ya Ushauri na kufanya kikao cha pamoja. #WenyeNchi #NguvuMoja
View attachment 3035230View attachment 3035231View attachment 3035232
Duu boss ushawahi walau kuhudhuria kikao cha bodi au kamati ya wachawi wa Kijiji kweli? Kwenye vikao vya namna hiyo CEO anakuwa ni secretary tuu wa kupokea action points za kufanyia kazi pamoja na kuandika report. Kama hujui ulizagaSasa inakuaje mtendaji mkuu wa klabu ambaye ndiye katibu wa vikao akae mbali hivyo na mwenyekiti wa kikao? Picha hii inaonesha tatizo kubwa la kiuongozi ndani ya simba. Its like a one man show
Timu alishainunua miaka 5 nyumaMo anahodhi madaraka
Wanajikokota upya!