Rais wa Simba Evans Aveva kwa utetezi wako huu nimekudharau rasmi

SIMBA APEWE MTU SERIOUS SIMBA WAKITULIA HUWA WANAJUA KUFANYA SELECTION NA KURAISE UPCOMING PLAYER ZAIDI YA TIMU YANGU YANGA..NA MISS COMPETITION YA SIMBA AZAM SIO LEVEL ZA YANGA ILA KWA MWENENDO HUU NA UONGOZI HUU WA KILOCAL KAMA WA MWAKA 1977 SIMBA ITAENDELEA KUWA TIMU YA RIDHAA YANGA NA AZAM WANAJARIBU KUINGIA KATIKA PROFESSIONAL FOOTBALL WANAMIAKA MICHACHE TU KAMA WATAENDELEA NA MAONO HAYA NA KUKUBALI KUKOSOLEWA MSIMU UJAO HUNEDA TUKASHUHUDIA MICHUANO YA KIMATAIFA MINGI KATIKA ARIDHI YA NYUMBANI IKIZIHUSISHA TIMU HIZI
 
Ukweli mchungu kwa wana msimbazi hongera gentamycine kwa kukubali na kutambua yanayo fanyika jangwani waswahili wana msemo "maiti ya kiswahili haikosi sababu"ndio hayo uliyo andika Jipangeni maana mkikaidi mtaendelea kupangwa.
 
Tatizo la msingi matopeni ni moja tu. Hawampi nafasi kocha kufanya kazi zake za msingi. Kusajili wachezaji na kupanga timu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…