Uchaguzi 2020 Rais wa Tanzania 2020 ni Tundu Lissu


Mbona ametumia vifungu vya katiba kujibu hoja, na sio sera zake.
 
.

Jr[emoji769]
 
Hata kama tunatofautiana itikadi, Ulikuwa mmoja wa watu wenye hoja makini hapa JF. Lakini siku hizi umeshuka kiwango kwa kasi ya ajabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa Mtabiri..ebu tusubiri tuone
 
Na iwe hivyo maana tumelichoka hili lijamaa linalo chungulia simu za wenzie!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaio huyo sasa atakua ni rais wa watanzania au rais wa taifa hilo waliomueka madarakani? Unadhani ataweka mbele maslai yako wewe, au maslai ya wale waliomueka madarakani?. Kwa hakika sidhan kama mtanzania alie na akili timamu anaeza tamani na kufurahia nchi yake ipate rais kwa kupitia utaratibu anaousema mtoa mada, kwa hakika ninakushangaa sana wewe unaesema na kufurahia eti bora iwe, labda kama wewe sio mtanzania bas kwa kiasi flani unaeza kueleweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena atakuwa the best president ever..
Bora Mungu atusimamishie kuliko achaguliwe na computer.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…