Rais wa Tanzania anatoa pesa kwa timu zetu ila anashindwa kununua gari kwa jeshi la magereza ili wapeleke watuhumiwa mahakamani au ana ujumiwa?

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Leo Bon yai kakwama kufikishwa mahakamani kisa

Jeshi la magereza halina gari ya kumfikisha mahakamani

Kwa Nini zile fedha zinazotolewa kwa timu ya Simba na yanga zisitumike kununua magari kwa jeshi la magereza?
Na je tarehe 24,25 Bado magereza hawatokuwa na gari mpaka tarehe 26?

Hizi ngiriba za jeshi la magereza na polisi pamoja na ikulu mwisho wake ni upi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…