Rais wa Tanzania anaweza kuitwa na kutoa ushahidi mahakamani?

mimi binafsi nilitamani Mheshimiwa Rais Dokta Samia Hassan aende mahakamani kutoa ushahidi wake
in fact naona mawakili wa Serikali wamemnyima haki ya Kikatiba Mweshimiwa Rais kutoa maelezo yake kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu tukufu.
 
mimi binafsi nilitamani Mheshimiwa Rais Dokta Samia Hassan aende mahakamani kutoa ushahidi wake
in fact naona mawakili wa Serikali wamemnyima haki ya Kikatiba Mweshimiwa Rais kutoa maelezo yake kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu tukufu.
Sijui ni Kwa nini wanamkingia kifua. Yesu mwenyewe alipewa fursa ya kumuhoji pilato uso kwa uso, Halafu Huyu wetu wanamkingia kifua . Binafsi sitaki wamchonge bila kusikiliza mkuu wa serikali anayemshitaki Kwa niaba yetu wananchi anasemaje akiwa anadodoswa.
 
AKIPENDA ATAKUJA. ILA MAMA YETU ANA KAZI NYINGI SANA ZA MANUFAA. KAMWE HAMUWEZI KUMUONA KWENYE UJINGA WENU.
Atunge kesi ya kipuuzi, kisha akimbie upuuzi wake? Lisu kaanga hao wapuuzi kwa mafuta yao.
 
hawajatenda haki hata kidogo
sijui kama mwenyewe ameridhika
 
PRESIDENTAL AFFAIRS ACT SECTION 9

9. Service of process generally in State House and other official residence

(1) No legal process shall be served or executed within the State House, its lodges or grounds or, while he is resident therein, within other official residences of the President except by or under the directions of the Chief Secretary or a Permanent or Private Secretary to the President; and the Chief Secretary and Permanent or Private Secretary shall, when when requested by a court to assist in the service or execution of any such process, give all reasonable and necessary assistance.

(2) No local government authority or public utility shall have any jurisdiction or power in regard to any matter or thing relating to the State House, its lodges or grounds or other official residences of the President.

KISWAHILI:

9. Huduma ya hati za kisheria kwa ujumla katika Ikulu ya Rais na makazi mengine rasmi

(1) Hakuna hati yoyote ya kisheria itakayotolewa au kutekelezwa ndani ya Ikulu ya Rais, nyumba zake za mapumziko au maeneo yake, au, wakati Rais akiwa anaishi humo, ndani ya makazi mengine rasmi ya Rais, isipokuwa kwa kufanywa na au chini ya maelekezo ya Katibu Mkuu wa Ikulu au Katibu Mkuu Msaidizi au Katibu Binafsi wa Rais; na Katibu Mkuu wa Ikulu pamoja na Katibu Mkuu Msaidizi au Katibu Binafsi, watakapoombwa na mahakama kusaidia katika utoaji au utekelezaji wa hati yoyote hiyo, watatoa msaada wote unaofaa na unaohitajika.

(2) Hakuna mamlaka ya serikali za mitaa au shirika la huduma za umma litakalokuwa na mamlaka au uwezo wa kisheria kuhusu jambo lolote linalohusiana na Ikulu ya Rais, nyumba zake za mapumziko au maeneo yake, au makazi mengine rasmi ya Rais.​
 
Sisi kama Raia wa Jamuhuri, hatukumtuma Raisi wenu aende kufungua kesi za Magumashi kwa niaba yetu sisi wananchi ( Republic V Mtu yeyote) Halafu yeye Raisi mfungua kesi atumie ujanja ujanja na kuingia mitini Kwenda kusema ni nini kilimtuma kuanzisha ujinga huu anaokwepa kwenda kuutetea mahakamani,

Sikiliza bhana, kama akikimbia, then atathibitisha rasmi kuwa hafai kuwa kiongozi au Raisi wetu Watanganyika – Ng'ooo- asilani.

Katiba inalinda Urais, lakini Katiba hiyo hiyo inalinda utawala wa sheria..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…