Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akutana na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema hali ya Ulinzi na Usalama Nchini ni nzuri na Serikali itaendelea kushirikiana na Umoja wa Mataifa katika kulinda Usalama.

Ameeleza hayo leo Mei 05, 2021 alipokutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Balozi Xia Huang, Jijini Nairobi.

Balozi huyo amesema UN ina matumaini makubwa na Uongozi wa Rais Samia Suluhu katika kuiongoza Tanzania. Pia, amewasilisha salamu za pole na pongezi kutoka kwa Katibu Mkuu wa UN, Antonio Gutteres.

2D08CD05-0075-48F1-94ED-CDDAE0D24270.jpeg
 
Back
Top Bottom