Rais wa TFF anapatikanaje?

Rais wa TFF anapatikanaje?

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Nimejaribu kumsikiliza Karia marangingi nashindwa kujua mfumo wa uteuzi wa Rais wa TFF upoje ?

Nani anamteua Rais wa TFF?

Majina yanapendekezwa na nani?

Hili ni swala la kitaifa na lina umuhimu kuliko hata Rais wa TLS ambayo inafanya kazi nzuri sana hapa nchini.

Nadhani tatizo la mpira Tanzania litatatuliwa pindi tutakapo wapata viongozi wenye ushindani na sio wakubebwa.
 
Back
Top Bottom