Uchaguzi ukipita na kesi zinafutika, lengo ni asigombee urais wa TFF japo naamini hawa jamaa ni wapigaji, lakini naona hapa nia ni kumtoa kwenye urais na sio kumfunga, na ndio maana yanatokea wakati huu.
Kama namuona vile Ally Mayayi Tembele huko aliko, kweli hakuna aijuaye kesho.