Rais wa TFF, Jamal Malinzi pamoja na Katibu Mkuu Celestine Mwesigwa washikiliwa na TAKUKURU

Sidhani kama utafanikiwa! Tafuta ushetani mwingine
 
Rushwa ndiyo kikwazo cha ufumbuzi wa matatizo ya nchi hii.Sasa waza hivi akishapata uongozi si lazima afanye mbinu ya kurudisha hela yake?.Kwa mfano huo wabunge wengi si wachache,wengi wa chama tawala wameingia kwa njia hizo.Ndiyo maana wamekuwa wanashabikia na kupitisha sumu kwa taifa.
 
Kama ni figure tu basi awekwe joti au mhogo mchungu
 
Si aturudishie mpira wetu tu, mbona mbishi huyu mzee.
 
Weee! Sepp Blatter is a qualified lawyer acha kudanganya, sema tu elimu kubwa sio kigezo cha mtu kuwa kiongozi mzuri, period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…