Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Ameipongeza kwa 'kuteuliwa' mkuu.Amepongeza imefanya kitu gani labda iwe: Ameipongeza kwa kuteuliwa
Milio iendelee , UBAYA UBWELA .Karia must GO !!
Anaharibu sana soka kwasababu timu yake pendwa haijakamata kombe msimu wa tatu mfululizo
Asibweteke na sheria za FIFA, Serikali inaweza kumzingua vizuri tu akiendelea na huu ujinga.
Baada ya mpwa kukandwa kila analogusa Karia ni baya tu UtopoloniKaria must GO !!
Anaharibu sana soka kwasababu timu yake pendwa haijakamata kombe msimu wa tatu mfululizo
Asibweteke na sheria za FIFA, Serikali inaweza kumzingua vizuri tu akiendelea na huu ujinga.