Rais wa TFF mbona simuelewi

Huyu rais wa TFF Wallace karia ni kwamba ndo anajifunza kuzungumza kiswahili ama, maana jinsi anavyotamka maneno kama mtoto anayeanza kujifunza kuongea


Si kasumba, ni mwanamme wa Dar....swaga zingine za kijinga sana, sasa kujishebedua kama msenge kuna uzuri gani jamani?
 
Anaongea vizuri tu kama wenyeji wa Muheza, Tanga.

Source: millard ayo
 
Kwani Manji anajua Kiswahili? Mbona hadi leo analiliwa na jamii fulani ya wapenda soka. Kabumbu halina kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…