Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Nani kalikoroga huko, Rais hapendezwi kabisa!
==
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, leo Disemba 7,2024, katika mkutano Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwamba yeyote anayeona udhamini wa ligi kuu una dosari, apeleke ushahidi TFF. Alikosoa kelele na propaganda zinazochafua soka la Tanzania na kusema kuwa ligi bado haijafikia kiwango cha Financial Fairplay.
"Kama kuna Mtu anahisi kuna udhamini wenye dosari basi alete ushahidi TFF, nje na hapo sivutiwi na kelele pamoja na propaganda zinazoenezwa ambazo zinachafua soka letu, wengine wanasema kuhusu Financial Fairplay sisi bado hatujafikia huko"
Pia, Soma:
+ Wallace Karia ndio Rais wa TFF mwenye mafanikio zaidi katika soka la Tanzania
+ Wallace Karia: Msimu huu hakutakuwa na matumizi VAR Ligi Kuu