Rais wa TFF, Wallace Karia kumteua mrundi kuwa Katibu Mkuu wa TFF

Mkuu mkimbizi ni mkimbizi tu hata. kama angekuwa nchini tangu 1905. Watu wa aina hiyo ndiyo wanaotugharimu. Binafsi nampongeza cybercrime kwa kufanya udukuzi, ni mzalendo huyu
Wanawagharimu nini ?

Ingekuwa hivyo USA isingekuwa nuclear state ,isingekuwa super power na isingesifika na technology Leo hii


Who the cap fit let him wear it kama no raia no problem

Waliowa gharimu nyinyi ni wazawa msitafute escape goat
 
Ndio, ana asili ya Somalia mzazi mmoja. Na yeye anataka kiteua mwenye asili ya Burundi kuwa Katibu Mkuu. Isije kuwa ndio wanajipenyeza kupitia kwenye Soka.

Haiwezi kupita akilini bila kukushtua kidogo
Huyo kidau amekua kwenye medani ya soka Leo ?? Tokea miaka na miaka namsikia kidau acheni kumzushia karia

Kipindi cha malinzi kidau alikuwa tff kwanini.mnaanza kumsema karia awamu yake

Team majungu kwenye ubora wenu
 
Mbona wakati ana chezea timu ya Taifa hamjasema ni Mrundi?
 
Mwenye namba ya Karia anipe nimuulize kama tuhuma hizi ni za kweli
 
Yale yale, hawa TFF kichwa cha mwendawazimu kabisa..
 
Huyu KARIA mwenyewe aliupataje huo urais wa tff? Maana inasemekana ni Msomali. Halafu nasikia anajilipa posho za safari hata kama safari hizo zinapaswa kulipwa na CAF au FIFA
Katibu Mkuu wa CCM naye ana rangi kama ya Karia! Acheni majungu, sote ni watz, tuijemge nchi yetu
 
Nchi hii shamba la bibi mwanzo, mwisho.
Rais mwenyewe ni Msomali. Hilo halina ubishi.

Sasa anataka kutuletea foreigner mwenzake ili watuendeshe vizuri.
 
Wewe ambaye babako na mamako,bibi na babu wazawa umeifanyia nini Tanzania,je toma hiyo mwaka 80 unataka kusema hakuomba uraia,je wewe si kati ya wale mlosema MWINYI na SALIM waarabu,MKAPA wa Msumbiji,KIKWETE Mkomoro na MAGUFULI Mnyarwanda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…