Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi ni tunu ya taifa

Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi ni tunu ya taifa

kina Tlaatlaah na wenzake hawapendi kusikia haya!
acha uposhaji gentleman,
mungwana anaigopa rushwa kama ukoma, na hana ujasiri wala hana mpango mkakati hata moja kudeal nayo, huyo ni useless completely,

sure,
sipendi mtu dhaifu na muoga na asie na mipango ya kudeal na mambo ya msingi 🐒
 
Nimeangalia mpk mwisho kisha nikabubujikwa na machozi ya furaha.kusema ukweli ajengewe sanamu pale Lumumba na chamwino.
All the best
 
mweledi, jasiri, mwenye misimamo, asiye mnafiki, mzalendo, ...

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Back
Top Bottom