mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Akizungumza wakati wa mkutano mkuu wa mwaka wa chama hicho unaofanyika leo, Alhamisi Agosti 01.2024, jijini Dodoma, Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Wakili Harold Sungusia amesema
Katika eneo la utoaji wa elimu kwa umma TLS (Chama cha Mawakili Tanganyika) tumeweza kufanya makongamano kuhusu Katiba katika mikoa ya Arusha, Mwanza, Dodoma, Mbeya na Dar es Salaam, lengo la makongamano hayo lilikuwa ni kwa namna gani tunaweza kushirikishana uelewa wa pamoja wa namna ya kuliendea suala la Katiba mpya ambapo miongoni mwa mambo tuliyojifunza katika kipindi cha muda huo mfupi yalihusu katika maswali yetu matatu ambayo ni:-
(i) Tulikwama wapi katika kupata Katiba mpya?,
(ii) Tuanzie wapi katika kupata Katiba mpya ya nchini?, na
(iii) Tufanye nini ili tusikwame tena tutakapoanza tena mchakato wa kupata Katiba mpya?"
Maswali haya matatu (3) tunaamini ni magumu na hivyo yanahitaji mjadala wa kitaifa na tunaamini wananchi wanayo majawabu ya maswali hayo.
Pia soma