johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Olympic hakuna Yanga na Simba, CCM yanga na Simba ni mtaji wao, hizi timu zimejaa wajinga watupu ambai ni advantage kubwa sana kwa watawalaNimuombe tu Rais wa TLS mh Mwabukusi aangalie na Ubora wa Sheria za Michezo
Olympic tumetia aibu Mno
Mlale Unono π
Tena vzr umelileta hili..kutokuwa na uwakilishi unaolingana na umri wa nchi toka kupata uhuru, idadi na ukubwa wa nchi kwenye michezo mikubwa km Olympics ni kielelezo kuwa tuna taifa Mfu! na serikali yenye dhamana ya uongozi kwenye mambo yote yanayolipatia taifa sifa, kuheshimiwa, mapato, marafiki haijui ilifanyalo na haijui inakoelekea! Mpira wenyewe hakuna popote umelifikisha taifa! Mpira wa mdomoni..kila mtu ni mchambuzi na afisa habari wa kujitakia kwa timu anayopenda..Eti nchi tunapeleka waogeleaji Olympics..r we serious? tumeshindwa kujua potential yetu iko kwenye michezo gani..? Nchi km Botswana ina watu million 3 tu tunawazidi mara 20, wmefanya homework yao vzr wamejipata, leo wanashiriki Olympics na kushinda medali! Michezo siyo futbal peke yake, na watu wa dar es salaam wanapaswa wafahamu jambo hili! Miaka ya 70, 80 na 90 nchi hii ilikuwa bora sana kimataifa kwenye riadha na netball..sijui ni wapumbavu gani waliingia na kuhamisha attention kwenye netball na riadha ikaenda kwenye uigizaji na u-miss! It's terrible! Tumekuwa km taifa lote tuna asili ya Pwani..maneno meeengi..na ushabiki wa kijinga! Leo tunashindwa na Burundi..kweli?? Nini tumebaki nacho sasa..ignorance na usimba na uyanga..???nini taifa linapata?? nguvu nyingi kwenye mambo nonsense kabisa km simba au yanga day..na media yetu ndio inaua mambo mazuri na kupandikiza ujinga kwa wananchi..!Nimuombe tu Rais wa TLS mh Mwabukusi aangalie na Ubora wa Sheria za Michezo
Olympic tumetia aibu Mno
Mlale Unono π
nimesoma mistali miwili tu ,ila nakubaliana na wwTena vzr umelileta hili..kutokuwa na uwakilishi unaolingana na umri wa nchi toka kupata uhuru, idadi na ukubwa wa nchi kwenye michezo mikubwa km Olympic ni kielelezo kuwa tuna taifa Mfu! na serikali yenye dhamana ya uongozi kwenye mambo yote yanayolipatia taifa sifa, kuheshimiwa, mapato, marafiki haijui ilifanyalo na haijui inakoelekea! Mpira wenyewe hakuna popote umelifikisha taifa! Eti nchi tunapeleka waogeleaji Olympics..r we serious? tumeshindwa kujua potential yetu iko kwenye michezo gani..? Nchi km Botswana ina watu million 3 tu tunawazidi mara 20, wmefanya homework yao vzr wamejipata, leo wanashiriki Olympics na kushinda medali! Michezo siyo futbal peke yake, na watu wa dar es salaam wanapaswa wafahamu jambo hili! Miaka ya 70, 80 na 90 nchi hii ilikuwa bora sana kimataifa kwenye riadha na netball..sijui ni wapumbavu gani waliingia na kuhamisha attention kwenye netball na riadha ikaenda kwenye uigizaji na u-miss! It's terrible! Leo tunashindwa na Burundi..kweli?? Nini tumebaki nacho sasa..ignorance na usimba na uyanga..???
TUJIREKEBISHE!
Yule waziri mtazame vizuri head morphology yake vizuri.Alafu na waziri mzimaaaaa wa michezo alienda eti!
Hii nchi ina undezi mwingi sana yaani. Gen Z wenyewe tunaowategemea watupiganie ndio kina Mwijaku na Steve Nyerere
mbona hatupati medali jamanii
100m finalist from Botswana Letsile Tebogo..!Tena vzr umelileta hili..kutokuwa na uwakilishi unaolingana na umri wa nchi toka kupata uhuru, idadi na ukubwa wa nchi kwenye michezo mikubwa km Olympics ni kielelezo kuwa tuna taifa Mfu! na serikali yenye dhamana ya uongozi kwenye mambo yote yanayolipatia taifa sifa, kuheshimiwa, mapato, marafiki haijui ilifanyalo na haijui inakoelekea! Mpira wenyewe hakuna popote umelifikisha taifa! Mpira wa mdomoni..kila mtu ni mchambuzi na afisa habari wa kujitakia kwa timu anayopenda..Eti nchi tunapeleka waogeleaji Olympics..r we serious? tumeshindwa kujua potential yetu iko kwenye michezo gani..? Nchi km Botswana ina watu million 3 tu tunawazidi mara 20, wmefanya homework yao vzr wamejipata, leo wanashiriki Olympics na kushinda medali! Michezo siyo futbal peke yake, na watu wa dar es salaam wanapaswa wafahamu jambo hili! Miaka ya 70, 80 na 90 nchi hii ilikuwa bora sana kimataifa kwenye riadha na netball..sijui ni wapumbavu gani waliingia na kuhamisha attention kwenye netball na riadha ikaenda kwenye uigizaji na u-miss! It's terrible! Tumekuwa km taifa lote tuna asili ya Pwani..maneno meeengi..na ushabiki wa kijinga! Leo tunashindwa na Burundi..kweli?? Nini tumebaki nacho sasa..ignorance na usimba na uyanga..???nini taifa linapata?? nguvu nyingi kwenye mambo nonsense kabisa km simba au yanga day..na media yetu ndio inaua mambo mazuri na kupandikiza ujinga kwa wananchi..!
TUJIREKEBISHE!
Nchi yenye zaidi ya watu million 60 inawakilishwa na muogeleaji mmoja..matokeo ni wa 8 kati ya 8 yaani wa mwisho! Lini sisi michezo km ya kuogelea ni fani yetu..tunaiga iga tu vitu tusivyoviweza!Tena vzr umelileta hili..kutokuwa na uwakilishi unaolingana na umri wa nchi toka kupata uhuru, idadi na ukubwa wa nchi kwenye michezo mikubwa km Olympics ni kielelezo kuwa tuna taifa Mfu! na serikali yenye dhamana ya uongozi kwenye mambo yote yanayolipatia taifa sifa, kuheshimiwa, mapato, marafiki haijui ilifanyalo na haijui inakoelekea! Mpira wenyewe hakuna popote umelifikisha taifa! Mpira wa mdomoni..kila mtu ni mchambuzi na afisa habari wa kujitakia kwa timu anayopenda..Eti nchi tunapeleka waogeleaji Olympics..r we serious? tumeshindwa kujua potential yetu iko kwenye michezo gani..? Nchi km Botswana ina watu million 3 tu tunawazidi mara 20, wmefanya homework yao vzr wamejipata, leo wanashiriki Olympics na kushinda medali! Michezo siyo futbal peke yake, na watu wa dar es salaam wanapaswa wafahamu jambo hili! Miaka ya 70, 80 na 90 nchi hii ilikuwa bora sana kimataifa kwenye riadha na netball..sijui ni wapumbavu gani waliingia na kuhamisha attention kwenye netball na riadha ikaenda kwenye uigizaji na u-miss! It's terrible! Tumekuwa km taifa lote tuna asili ya Pwani..maneno meeengi..na ushabiki wa kijinga! Leo tunashindwa na Burundi..kweli?? Nini tumebaki nacho sasa..ignorance na usimba na uyanga..???nini taifa linapata?? nguvu nyingi kwenye mambo nonsense kabisa km simba au yanga day..na media yetu ndio inaua mambo mazuri na kupandikiza
Nchi zenye serikali inayofahamu kufanya homework yake vzr..kijana Tebogo Letsilie wa Botswana ameshinda medali ya dhahabu mbio za mita 200 wanaume Olympic 2024, Paris France..halafu Tanzania ambayo inaizidi Botswana mara 20 kwa idadi ya watu tuko busy kubishana mambo ya uchaguzi tu na habari za watu kupotea!Tena vzr umelileta hili..kutokuwa na uwakilishi unaolingana na umri wa nchi toka kupata uhuru, idadi na ukubwa wa nchi kwenye michezo mikubwa km Olympics ni kielelezo kuwa tuna taifa Mfu! na serikali yenye dhamana ya uongozi kwenye mambo yote yanayolipatia taifa sifa, kuheshimiwa, mapato, marafiki haijui ilifanyalo na haijui inakoelekea! Mpira wenyewe hakuna popote umelifikisha taifa! Mpira wa mdomoni..kila mtu ni mchambuzi na afisa habari wa kujitakia kwa timu anayopenda..Eti nchi tunapeleka waogeleaji Olympics..r we serious? tumeshindwa kujua potential yetu iko kwenye michezo gani..? Nchi km Botswana ina watu million 3 tu tunawazidi mara 20, wmefanya homework yao vzr wamejipata, leo wanashiriki Olympics na kushinda medali! Michezo siyo futbal peke yake, na watu wa dar es salaam wanapaswa wafahamu jambo hili! Miaka ya 70, 80 na 90 nchi hii ilikuwa bora sana kimataifa kwenye riadha na netball..sijui ni wapumbavu gani waliingia na kuhamisha attention kwenye netball na riadha ikaenda kwenye uigizaji na u-miss! It's terrible! Tumekuwa km taifa lote tuna asili ya Pwani..maneno meeengi..na ushabiki wa kijinga! Leo tunashindwa na Burundi..kweli?? Nini tumebaki nacho sasa..ignorance na usimba na uyanga..???nini taifa linapata?? nguvu nyingi kwenye mambo nonsense kabisa km simba au yanga day..na media yetu ndio inaua mambo mazuri na kupandikiza ujinga kwa wananchi..!
TUJIREKEBISHE!