Rais wa Tunisia apanga kuiandika upya katiba ya nchi hiyo

Rais wa Tunisia apanga kuiandika upya katiba ya nchi hiyo

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Rais wa Tunisia, Kais Saied ametangaza mpangp wake wa kuiandika upya Katiba ya Nchi yake

Akitoa salamu za Sikukuu, Rais Saied ambaye alivunja Baraza la Mawaziri na Bunge amesema kamati itafanyia kazi suala hilo na italikamilisha ndani ya siku chache zijazo.

Hakusema ni jinsi gani katiba hiyo itabadilishwa lakini akagusia kuwa itakuwa na mwangaza wa kuifanya Jamhuri Mpya.

Wapinzani wamemshutumu kwa kuendelea kujiwekea nguvu nyingi ya kutaka kufanya kila kitu.

Source: BBC
 
Aiseee only in Africa

Katiba imegeuka utunzi wa kitabu
 
Back
Top Bottom