kuna mataifa mengi ya ulaya ya mashariki ambayo yamejiunga NATO baada ya muunganoi wa soviet kusambaratika kujiunga huko pamoja na kuongeza wigo wa wanachama lakini pia kumeongeza gharama ukichukulia nchi hizo nyingi ni maskini zinategemea kubebwa na USA na mataifa makubwa ya ulaya kama Ufaransa, Ujerumani na Uk