Rais wa Ufaransa atua Kenya na kuanza mikakati ya ujenzi wa reli itakayounga uwanja wa ndege JKIA

Kwanini Tanzania mnajengewa uwanja na Morocco ?
Mnatoa pesa au ni zawadi tu ?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Zawadi tu,mfalme wa morroco alipopita Tz,magufuli alimuomba huo uwanja,kitu soon kinaanza kujengwa dodoma
Kwanini Tanzania mnajengewa uwanja na Morocco ?
Mnatoa pesa au ni zawadi tu ?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Mtutsi alipofika kwenye ikulu ya mwenzake mhutu hivi majuzi sikuona wakenya wakitupia matusi chungu nzima kama baadhi ya watz wanavofanya kwenye uzi huu. Imewauma eeh? [emoji38]
 
Zawadi tu,mfalme wa morroco alipopita Tz,magufuli alimuomba huo uwanja,kitu soon kinaanza kujengwa dodoma
Mbona wanadai huwa uwanja mnajengewa ili msiitambue kuwa Morocco anakalia nchi nyingine kimabavu ?

Na why awapoze nyie tu aliyakuwa mpo mbali nao?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Tukitambua au tusipotambua sie itatusaidia nini?
Mbona wanadai huwa uwanja mnajengewa ili msiitambue kuwa Morocco anakalia nchi nyingine kimabavu ?

Na why awapoze nyie tu aliyakuwa mpo mbali nao?

Sent using my iPhone using jamiiforum app
hii kujifanya kusaidia nchi zingine ndio hii leo inafanya baadhi ya kututukana na kutudharau bila kukumbuka jinsi tulivyojitoa kwenye nchi zao,hata hawa wakenya wangeingua kwenye kimbari kama si kikwete kwenda kuwapatanisha,leo ndio wanaongoza kututukana!now tunaangalia ya nchi yetu tu
 
Light rail ya Km 5!! Majirani mbona mnapenda sana kuomba misaada! Uhuru anaeza ata akatoa pesa zake mfukoni kwa kutumia PPP au msubirini atoke madarakani awapige jeki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida ya Rais Uhuru kutembea nje na kualika wageni. Licha ya hayo uchumi unaendelea kudorora na ufisadi umekidhiri.
Magu yupo maguguni uchumi na piga hatua za 7.2% huku mabalozi wa nje wakituma mihela mirefu Tz kila mwaka.
Very smart Guy, his presidency is soo cheap he spends less than a govenor in Turkana (northen kenya)
 
This economy is almost twice that backwaters one.You must be under Konyagi spell wakati unacomment. You hardly make any sense at all
 
Kenya wamenufaika na safari ya huyu Rais wa ufaransa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…