Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,663
Rais wa uganda Yower Museven ametangaza kumuandaa mwanawe kuchukua madaraka kutoka kwake! Source Dira ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa twaipinga ila naona inakuwa njema sana angalau anakuwa mtu ambaye amezoea kuongoza na na familia iko na hela.
Tofauti na kumtoa kapuku from no where akifika IKULU mazoea sifuri tajiri zero anaanza kwapua mapaka atosheke inchi mifupa mitupu.
Kuna familia za àjabu sana wao wanadhani peke yao ndio wanahaki ya kutawala na wengine hawana. Urais sio ufalme kama ànajiamini amuache mwanae ajipambane mwenyewe kama akina KENYATTA au MAKONGORO walivyofanya. Kuandaa mrithi kutoka ndani ya familia yake huku akimbeba ni kuwanyima fursa raia wengine wanaopambana bila marefa.[ Yaan viongozi wa Afrika wana uchu wa madaraka sijawah ona.kama Mugabe uchaguz unafanyika mwaka huu yeye pia atagombea huku akiwa na miaka 90. Inashangaza!
Ingawa twaipinga ila naona
inakuwa njema sana angalau anakuwa mtu ambaye amezoea kuongoza na na
familia iko na hela.
Tofauti na kumtoa kapuku from no where akifika IKULU mazoea sifuri
tajiri zero anaanza kwapua mapaka atosheke inchi mifupa mitupu.
Unajua sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi ndo maana kwetu zamani ili kuwa mwendo wa machief na mambo yalikuwa shwari sana.Ni wateule wachache wenye uwezo wa kuongoza n hii the so called democrasia mtu ananunua wapiga kura na ata ----- anakuwa kiongozi.Kaka nafikiri this is to hypothetical. Fedha si ugali kwamba unashiba
Awali nilijua Kagame na Uganda ni kama ndoa (until death do them part) ila hili la kurithishana ni jambo jingine
I wish na Tizaa JK amrithishe Zwaan
Ivi uko serious Africa kuna democrasia au the so called Democrasia.nini maana ya demokrasia sasa! watu kama nyie mmebaki wachache sana dunian, ungetunzwa vizuri kwenye museum.