Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Anakuja kuchota " maarifa" ya KUUA HALAIKIRais wa Uganda, Yoweri Museveni anatarajiwa kuwasili Tanzania Februari 7, 2026 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais Museveni atafanya mazungumzo na mwenyeji wake, Rais Samia Suluhu Hassan ambapo mazungumzo yao yatajikita kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi hizo mbili, pamoja na kujadili masuala muhimu ya kikanda na kimataifa.