Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Raisi wa Ukraine ameomba jumuiya ya kimataifa imsaidie kuilazimisha Urusi kulipa gharama za uharibifu wake katika nchi hiyo, uharibifu ambao umetokea tangu vita vianze takriban miezi mitatu iliyopita.
Meanwhile, Volodymyr Zelensky, Ukraine's president, has proposed a formal deal with the country's allies to secure Russian compensation for the damage its forces have inflicted on Ukraine during the war.Mr Zelensky has warned that Russia is trying to destroy as much of Ukraine's infrastructure as possible, and said such a deal would show nations planning aggressive acts that they would have to pay for their actions.
Kwa upande mwengine Rais huyo katika mahojiano maalumu ya kuenzi miaka mitatu tangu aingie madarakani amewataja wananchi wa nchi yake kama watu wa mwaka huu (people of the year) kutokana na ushujaa wao wa kupambana na Urusi.
Vile vile imefahamika kuwa wanajeshi wa Ukraine wa kikosi cha kinazi waliojisalimisha kwa jeshi la Urusi wanaozidi elfu mbili wamegawanywa vikundi vidogo vidogo na kusambazwa miji tofauti ya Urusi huku kukiwa na mawazo tofauti miongoni mwa wakuu wa Urusi ya namna ya kuwatendea mateka hao.