Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov.
Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazini.
Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazini.