Inasemekana walikuwa wanaandaa njama za kumpindua kisha kuingia mapatano ya amani na Urusi!! Wamekatishwa tamaa na propaganda kuwa wataishinda Urusi kwenye uwanja wa mapambano wakati hali halisi inaonesha tofauti!!Rais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov.
Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazini.
Lakini bila shaka kuna masalia yamebaki, ni suala la muda tu watamsukia tena mipango ya kumpindua!! Watu wamechoshwa na vita ambavyo chanzo chake hakina tija! Yaani kutaka kujiunga na NATO!! Ukijiunga na NATO hakuna unachopata cha ziada zaidi ya kujiongozea maadui!!Washukuriwe CIA
Haohao aliowafukuza watamfanyia kitu mbaya pamoja na kutoa siri kwa Russia
Hujamsikia akiwatuhumu kwa "treason case"? Tayari kulikuwa na hizo fununu za kumpindua na huenda Russia ilihusika (sina uhakika).. Unajua hao ni viongozi wa ngazi ya juu sana na wanaijua hali halisi kuliko Zelensky anavyoijua maana yeye anategemea kuambiwa na wao!! Wameshaona mbele ni giza na hakuna uwezekano wa kuishinda Urusi kwa kutegemea silaha za kuomba omba!Haohao aliowafukuza watamfanyia kitu mbaya pamoja na kutoa siri kwa Russia
Putini amebadilisha walinzi wake zaidi ya mara 8 kwa kuhisi na wao wanatumika na upande wa piliAnguko la Ukraine... hakuna muda wa kushirikiana kama huu
Kumbuka Putini amebadilisha walinzi wake zaidi ya mara 8 kwa kudhani wanatumika ukitoa ile mara moja ambayo alinusurika kuwawa na hao hao walinzi wakeRais wa Ukraine, Volodymir Zelenskiy amewafukuza kazi watumishi 28 wa Shirika la Ujasusi la nchi hiyo (SBU) ikiwa ni siku moja baada ya kumfukuza Mkuu wa Masuala ya Ujasusi, Ivan Bakanov.
Zelenskiy amesema kuwa waliofukuzwa wanatoka katika ngazi mbalimbali za shirika hilo na kwamba sababu za wao kuondolewa ni pamoja na kutokuwa na ufanisi wa kutosha kazini.
Weka ushahidi hapa!Putini amebadilisha walinzi wake zaidi ya mara 8 kwa kuhisi na wao wanatumika na upande wa pili
Waafrika mpo waongo sana..ndo maana hatuendelei..Putini amebadilisha walinzi wake zaidi ya mara 8 kwa kuhisi na wao wanatumika na upande wa pili
Mbona mlishasema ajiandae toka kitambo? But to our surprise Zele bado ni Ukrainian presidentNchi ngumu hio...........Huyo Zelensky ajiandae tu kukimbia....mrusi anampeleleza na watu wake hadi chooni , sahivi acha arukeruke kwanza
Asali hailiwi, inalambwa kiongozi!Hadi watu wake wameshaona wakina Nato hawana msaada kwao acha wakale asali urusi