Rais wa Ukraine Zelensky atangaza kikao kingine na Marekani kitakachofanyika nchini Saudi Arabia

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa mazungumzo kati ya Ukraine na Marekani yatafanyika Saudi Arabia wiki ijayo, akielezea matumaini kuwa mkutano huo utakuwa na maana katika juhudi za kusaka amani ya kudumu.

Zelensky hatahudhuria mazungumzo hayo lakini amesisitiza kuwa Kyiv inafanya kila jitihada kufanikisha amani ya haraka na ya kudumu.

Kwa upande wake, Mjumbe Maalum wa Rais wa Marekani Donald Trump, Steve Witkoff, amesema kuwa timu ya Marekani italenga kujadili mfumo wa amani ili kumaliza vita vya Urusi na Ukraine.

Taarifa hii inakuja baada ya mvutano kati ya Trump na Zelensky wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, ambapo Trump alimshutumu Zelensky kwa kutokuwa tayari kumaliza mapigano. Hali hiyo ilisababisha Marekani kusitisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine na kusimamisha ushirikiano wa kijasusi.

==============================================================

zele.png

US-Ukraine talks will be held in Saudi Arabia next week, President Volodymyr Zelensky has said, expressing hopes that it will be "a meaningful meeting".

The Ukrainian leader, who will be in the Gulf kingdom but not take part in the talks, said Kyiv was working to reach a "fast and lasting" peace.

US President Donald Trump's special envoy, Steve Witkoff, said the American team wanted to discuss a "framework" for peace to try to end the Russia-Ukraine war.

Last Friday, Zelensky and Trump were involved in a public clash at the White House - during which Trump said Zelensky was not ready to end the fighting. The US proceeded to pause military aid to Ukraine and stop sharing intelligence.

The Ukrainian president has expressed regret about the incident and tried to repair relations with the US - the country's biggest military supplier.

On Thursday, Witkoff said Trump had received a letter from Zelensky that included an "apology" and "sense of gratitude".

Source: BBC News
 
Asijipe kimbelembele ni Marekani kuitisha kikao sio Ukurain
 
Mbona una wivu na ukraine [emoji1787]
Ni kwasababu wewe hujui siasa za dunia, Tanzania haiwezi kuitisha kikao US ikauthuria ni US kuitisha na Tanzania ikauthuria ndo protocol ya siasa.
 
Sasa ukraine ndio ufananishe na hili litanzania li nchi la wajinga🤣🤣
 
Hakuna kuweka camera wala waandishi wa habari ili kama kuzichapa wazichape kavu kavu...
 
Wewe uko wapi usio jua kwamba Tanzania haina vita kuna Amani na utulivu japo kuna umasikini pia ila hautishi.
Umasikini hautishi wakati watu wengi wanaishi kwa 1$ per day
 
Wewe uko wapi usio jua kwamba Tanzania haina vita kuna Amani na utulivu japo kuna umasikini pia ila hautishi.
Lakini kuna mtanzania alienda kupigana vita hivyo, na akauawa
 
Kurukaruka kwa maharage ndiyo kuiva kwake

Comedian alijifanya kukaza sasa hivi kaachia
 
Hao wawakilishi wa American safari hii waende na bakora kabisaa wakizingua tu piga za shingo sanaaa
 
Back
Top Bottom