Rais wa Urusi alivyokwenda iran na ndege 4 za kivita zinamlinda kwa juu

Rais wa Urusi alivyokwenda iran na ndege 4 za kivita zinamlinda kwa juu

Hiyo hapo five years ago.
markup_1000010811.png
 
Hiyo video ni mda sana nimewai kuiona. ni miaka mitatu isiyopungua
 
Mod mnafuga wajinga jf... thread kama hizi mleta mada atakaiwa afanyiwe hearing why ni mjinga na news za kale kuifanya kama mpya watu fikra zetu zinasubiri news mpya
 
Hii ni ya miaka ya zamani sana kiongozi.
Ndio tatizo la kuja mjini ukubwani.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom