Alain BersetVerified account @alain_berset 13h13 hours ago
Mimi rais wa Uswizi naja kutembea nchi ya Jamhuri ya [HASHTAG]#Kenya[/HASHTAG] kuanzia siku ya jumapili hadi jumanne wiki ijayoNaja nikijua kuwa Kenya ina sifa ya kuwa nchi nzuri ilio na watu wakarimu sana. Natarajia kuwa na mazungumzo mazuri @presidentKE @UKenyatta ninapowasili [HASHTAG]#Nairobi[/HASHTAG] pic.twitter.com/PlCiBu3Wc7
Alain Berset (@alain_berset) | Twitter
R.I.P mwalimu Julius kambarage nyerereAsante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Una matatizo makubwa sana wewe walahiMbona hata Trump alitumia Kisukuma kusema Shithole.. Na hatukusema kitu.
Well saidAsante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Aisee!Mbona hata Trump alitumia Kisukuma kusema Shithole.. Na hatukusema kitu.
Tatizo liko wapi? Kiswahili ni lugha ya Taifa ya Kenya sasa ulitaka atumie Kibalingo county?
Kuna watu wengi Kenya Kiswahili ni lugha yao ya kwanza sioni tatizo hapo hata ingekuwa ni Kongo Mashariki pia angetumia Kiswahili kwani ndo lugha ya watu wa Kongo Mashariki!
Siku hizi bongo mabalozi wote wa nchi za nje wanatumia kiswahili kwenye hotuba zao, imekua kawaida sasa...Wapi nimesema kuna tatizo, lengo ni kuonyesha jinsi Kenya imehusika pakubwa kwenye ufanikishaji wa Kiswahili kutambulika duniani.
Sisi huwa tunaongea na kuhamasisha uwezo wa kuongea lugha nyingi zikiwemo zetu za asili, na pia Kiswahili na Kingereza, huwa hatujafugwa kwenye zizi moja.
Wewe ni mswahili ama wewe ni msukuma?Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Inakuwakuwaje watu wa Kongo pia wanaongea Kiswahili? Au Tanzania ina mipaka (border) na Kongo?Tatizo liko wapi? Kiswahili ni lugha ya Taifa ya Kenya sasa ulitaka atumie Kibalingo county?
Kuna watu wengi Kenya Kiswahili ni lugha yao ya kwanza sioni tatizo hapo hata ingekuwa ni Kongo Mashariki pia angetumia Kiswahili kwani ndo lugha ya watu wa Kongo Mashariki!
Mbona hata Trump alitumia Kisukuma kusema Shithole.. Na hatukusema kitu.
Inakuwakuwaje watu wa Kongo pia wanaongea Kiswahili? Au Tanzania ina mipaka (border) na Kongo?
Nyerere anajulikana huko ujamaa ilhali Tanzania kwa wengi(ulimwengu) wanafikiri ni kijiji tu.Asante sana Mwalimu Nyerere.
Kama sio Juhudi zako Mwalimu Nyerere Kiswahili kingeshakufa,
Maana kuna vipofu wengine waliona Kingereza ni Bora kuliko Kiswahili lakini Sasa Mungu anafungua macho hata wale vipofu wanaona mwanga kwa Maono yako ya Mbali, Kiswahili kitaenea Dunia nzima na sisi waswahili tutakuwa ni miongoni mwa Identities Duniani.
Upumzike kwa Amani my best Leader of all time.
Mfyuuuuu...aisee sjaona watu wajuaj dunian kama RAIA wa kenya, kwanza hawajui kusifia wao ni kuponda tuu,na ndo maana tunawaburuza kila idara kwenye mziki ,michezo nk...pumbafuu sana huyo mswiziii...anawafanya waswahili wavimbe vichwa bureee....kienglish ndo mambo yoteee!!!