Rais wa Wadanganyika akisakata kiduku

RayB

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2009
Posts
2,751
Reaction score
200


Hapa walikuwa katikati ya mduara wakionyesha ujuzi wao wa kuyarudi mipasho.

Ni kama inaimbwa "Chademaaa Chademaaa chadema wamenishinda, chadeeeemaaa chadeeemaa chadema wamenishinda"

TUTAJENGA NCHI
 
wewe unayesema huyu ni rais wa wadanganyika jitokeze wazi wazi kesho useme hivyo ndo utajua huyu ni rais au sio.
 
I like this picture..ni picha ya vigogo watupu.
 
wewe unayesema huyu ni rais wa wadanganyika jitokeze wazi wazi kesho useme hivyo ndo utajua huyu ni rais au sio.

Na wewe unanitisha kama Rais wako anavyotishia wapinzani waliotoka nje?? LOlz Wazi wazi wapi unataka, kura zilishaonyesha kuwa ni Rais wa Wadanganyika na wewe ni mmojawapo. Mimi sio mdanganyika.
 
"eee mbeee ngoja nikupigie makofi japo ya kinafiki ili nipate ile idara yangu, si unajua tena? Sheo lasima ipatikane kwa gharama yeyote ile...labda hata hii taswira yangu itabadilika...bora CDM wametoka ngoja niumie hii kumfariji Jeykey, kwa sababu saa hisi anataka support, nitatumia hiyo as an advanteji,,,,,,"
 
Mhh mbona namuona Mrema na huyo mwingine si Juma nature huyooo!!!:teeth::teeth::teeth:
 
Immediately nikimuona Mrema, nasahau siasa, everything nasahau, nafikiria afya yake, jamani vp mzee wetu? so deteriorated, nini....!!!?
 
Naskia kashaikanyaga.

Aah! Wandugu kwani Mrema amekuwa nyoka wa kujivua Magamba awe kijanaa? Umri nao umemtupa mkono au mnataka watu wasizeeke..? Madaktari macho nanyi mmh! Sio Poa lakini hujafa hujaumbika... Life ni Game wazee..!
 
wewe unayesema huyu ni rais wa wadanganyika jitokeze wazi wazi kesho useme hivyo ndo utajua huyu ni rais au sio.

ajitokeze wapi?kwani yeye mwenyewe hajui kama kaiba kura?we vipi bana
 
jamani mbona reception ya mrema imeharibika hivyo.
Mwoneeni huruma Kisukari kinamsumbua sana!nalabda angeshafariki kama siyo jk kumpeleka India ndiyo maana hawezikumsema chochote jk alikuwa akate kamba jk alituma ndege KIA ikamchukua hadi dar dar akapanda emirate india hali yake ilikuwa tete!!ila msimzushie eti kayakanyaga.
 

:amen::amen: asante kaka..
maana huku kwetu hata mtu akikonda kidogo ni
utasikia uzushi eti ana Ngoma...
 
Mrema analipa fadhila za kupelekwa kwa matibabu India na unaweza kukuta hata Ubunge wamempa wao, manake its very unlikely NEC kutangaza kurekebisha matokeo na kumuongezea Mrema 4% tena mh
 
Mrema mbona kama anamsujudia Kikwete???.....kweli shida mbaya.
 
namnukuu mrema alipokuwa akiomba kura alipokuwa anathema achaguliwe hata kama ni mgonjwa akafie bungeni ali azikwe kwa heshima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…