Rais wa JF ni mshana jr, sababu anamaneno ya busara na hekimaUkipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???
Alaah kumbe wewe ni kapangaboi ketu, tutakupanda sana mwaka huuUkipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???
Ohoo huko kwa kupandana mi simoAlaah kumbe wewe ni kapangaboi ketu, tutakupanda sana mwaka huu
Akomemwambie akome
Namimi ningekua mbeba mizigo wakoNajua lazima ningekuwa bodyguard wa rais
Hahaha au na ww ungekuwa bodyguard wangu[emoji1]Namimi ningekua mbeba mizigo wako
Mie mizigo tu mwenzangu mambo yau bodyguard siyaweziHahaha au na ww ungekuwa bodyguard wangu[emoji1]
Haya usijali ngoja rais apatikaneMie mizigo tu mwenzangu mambo yau bodyguard siyawezi