Rais wa wana-JamiiForums

Mimi nafikiri suala la ban litazamwe upya
watu wapewe nafasi ya kujitetea kabla ya ban

na kuhusu Makapuku siamini kama wana mgogoro na wakongwe
nafikiri watu wawaache makapuku wawe free kuendeleza movement yao
Ok,....kwenye jukwaa la siasa, hoja zinazomuhusu Mtukufu zinatizamwa kwa umakini sana,...pia zinasababisha title edition pamoja na uwezekano wa kufutwa, unasemaje kuhusu hilo?
 
Haitakiwi kabisa ku edit title ya thread ya mtu unless ina matusi
kufanya censorship ni makosa ni kuzuia watu kuwa free....

angalau kabla ya ku edit mtu aelezwe kakosea wapi
 
halafu pia kumerge thread
 
Ukipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting

Mkuu, usije kuwa tayari una majina yako ya wagombea mfukoni.

lol
 
Haitakiwi kabisa ku edit title ya thread ya mtu unless ina matusi
kufanya censorship ni makosa ni kuzuia watu kuwa free....

angalau kabla ya ku edit mtu aelezwe kakosea wapi
Mkuu kuna ID zina picha na majina ya ajabu ajabu,...mf, mchepuko wa mkulu na fundi chupi,....unadhani kuna haja ya kuhakiki hizi ID au mtu aweke anachotaka?
 
Uhakiki hasa wa picha muhimu
lakini pia tuwe na uvumilivu
sioni why jina la 'mchepuko wa mkulu' kama ni that serious offense...
sanasana labda ni jina la kiutani tu....
 
Ku merge thread iwe kwa thread zinazofanana tu
na sio kila thread inayohusu jambo hilo...
angalau ku merge kufanyike siku saba baadae
..kungekuwa na mfumo wa kutaja "the great thinker of the month" yaan mtu aliyechangia mada kwa kutumia akili sio kuandika ili aongeze "messages"
 
Uhakiki hasa wa picha muhimu
lakini pia tuwe na uvumilivu
sioni why jina la 'mchepuko wa mkulu' kama ni that serious offense...
sanasana labda ni jina la kiutani tu....
nadhani majina ya matusi na yasiyo na tafsida yasiruhusiwe pamoja na picha za ajabu...
 
..kungekuwa na mfumo wa kutaja "the great thinker of the month" yaan mtu aliyechangia mada kwa kutumia akili sio kuandika ili aongeze "messages"

Sina uhakika kama kuna haja ya hayo
shida ni pia mtu akisiwa sana anaweza kuanza kuogopa kuchangia pumba
au akatumika kinamna ingine hata kununuliwa

so bora tupunguze namna za kuwasifia sana wachangiaji
 
..interesting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…