Mkuu umejibu vema,....twende jukwaa la wakubwa,...Yaani lile jukwaa limepoa sana, kama ile theory ya disuse ingekuwa kweli basi lile jukwaa lingeshatoweka.Uhakiki hasa wa picha muhimu
lakini pia tuwe na uvumilivu
sioni why jina la 'mchepuko wa mkulu' kama ni that serious offense...
sanasana labda ni jina la kiutani tu....
Mkuu umejibu vema,....twende jukwaa la wakubwa,...Yaani lile jukwaa limepoa sana, kama ile theory ya disuse ingekuwa kweli basi lile jukwaa lingeshatoweka.
Vipi una mikakati gani ya kuliamsha na lipate mvuto kiasi cha kulifanya kuwa break ya kwanza pindi wadau wanapo log jf?
Ukipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting
Kuna malalamiko kuhusu jukwaa la love connect kwamba watu hawalitumii vile inavotakiwa
Ukifanikiwa kushika hatamu ni kwanamna gani utahakikisha jukwaa lile linatumika vile lilivyokusudiwa?
Cc The Boss
Nyani Ngabu
Na wagombea wengine
NakujaaNakusaka kule
mkuu wewe ndio kale ka kandege kalikoletwa juzi??Ukipewa nafasi ya kuchagua mmoja wa wanachama humu awe Rais wetu,utamchagua nani na kwanini???...kumbuka huu UZI ni ...interesting
naomba tangu jana waunganishe ID zangu lakini sijibiwiJukwaa lile linaharibiwa na watu wenye id nyingi
nafikiri mods wangefuatilia kama wakiona mtu anaanzisha id nyingi kwa ajili ya jukwaa lile
waziunge hizo id......hiii itasadia kupunguza hao wanao lalamikiwa
Sikubaliani na hilo wazo....likiwa wazi itabidi ma mods wachuje contents zake hasa picha ili liwe na hadhi ya kuonekana hadharani, kitu kitakacholifanya kupoteza ile ladha yake asilia,...kumbuka lile ni la kipekee sana.Lile jukwaa linapaswa kwanza kuachiwa ili kila mtu alijue
tatizo kilichopo sasa ni kuwa watu wengi hawalijui
na walio omba kupata aceess hawajajibiwa
first liruhusiwe kwa kila mtu
halafu wasiotaka waseme wapunguzwe...
that way tutakua na active members wengi
Una ID zaidi ya moja?πππππnaomba tangu jana waunganishe ID zangu lakini sijibiwi
unajua maana ya uchochezi???uchochezi
Hahahahaa....yaani wewe ID mbili unashtukiwa, utaweza kuwa na hawara kweli?ππππππ BTW naona kuwa na ID moja ndio ishu maana uta concentrate kikamilifu.....cha muhimu iwe Fake haswa ili kujiwekea usiri wa kutosha.ninazo mbili,nyingine ni jina halisi hatariiiiiiiiiiiiiii
tatizo zinanichanganya nitumie ipi niache ipi,hii naona kama naisema ndege yetuHahahahaa....yaani wewe ID mbili unashtukiwa, utaweza kuwa na hawara kweli?ππππππ BTW naona kuwa na ID moja ndio ishu maana uta concentrate kikamilifu.....cha muhimu iwe Fake haswa ili kujiwekea usiri wa kutosha.